Baada ya kitendo ya kujiapisha, nini kinachofuatia kwa Raila Odinga?

Maelezo ya video, Baada ya kitendo ya kujiapisha, nini kinachofuatia kwa Raila Odinga?
Iliyochapishwa

Tukio la kiongozi wa upinzani Raila Odinga lilikuwa ya kihistoria Kenya, lakini nini kifuatacho?

Profesa Herman Manyora ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa Kenya anatupatia mtazamo wake.