Masanja mchoraji ametupilia mbali penseli na rangi katika uchoraji na kuhamia kwenye moto

Maelezo ya video, Masanja mchoraji ametupilia mbali penseli na rangi katika uchoraji na kuhamia kwenye moto
Iliyochapishwa

Washington Masanja mchoraji aliye tupilia mbali penseli na rangi katika uchoraji na kuhamia kwenye moto

Amefanya uchoraji huu wa aina yake kwa miaka mitano nchini Tanzania

VIDEO: Eagan Salla, BBC