Habari za Global Newsbeat 1500 18/04/2018

Maelezo ya sauti, Habari za Global Newsbeat 1500 18/04/2018
Iliyochapishwa

Utafiti uliofanywa na shirika la Resolution Foundation umebaini kwamba robo tatu ya vijana wa sasa hawatakuwa na uwezo wa kumiliki nyumba zao wenyewe kwa miaka ijayo kutokana na ongezeko la nyumba za kukodi.

Je, wakubaliana na utafiti huo?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com