Rais Magufuli azungumza wakati wa kuzindua rasmi kampeni ya chama hicho

Maelezo ya video, CCM imezindua rasmi kampeni yake huko jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania.
Iliyochapishwa

CCM imezindua rasmi kampeni yake huko jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania.

Rais John Magufuli ambae ndie anaepeperusha bendera ya chama hicho hakusita kuomba wananchi wampe fursa ya kumaliza alichokianzisha.