IGP Sirro ataka wapinzani warudi nyumbani kuendeleza taifa

Maelezo ya video, IGP Sirro ataka wapinzani warudi nyumbani kuendeleza taifa
Iliyochapishwa

Mkuu wa polisi Tanzania, Simon Sirro asema wapinzani walioondoka nchini humo warudi nyumbani.

"Sisi hatuna habari yeyote ya kutishiwa kwa kiongozi yeyote, ninawahakikishia usalama wenu," Sirro amesisitiza.