Sababu zinazofanya maziwa ya ngamia kuwa ghali

Maelezo ya video, Sababu ya maziwa ya ngamia kuwa ghali
Iliyochapishwa

Maziwa ya ngamia yanasifika sana kuwa tiba.

Karibu 60% ya maziwa yote ya ngamia duniani yanatoka kwa wafugaji wa Afrika Mashariki.