Tazama kijana huyu ambaye alirushwa na tiara hadi angani

Maelezo ya video, Tazama kijana huyu ambaye alirushwa na tiara hadi angani
Iliyochapishwa

Nadarasa Manoharan aliinuliwa juu ya mita 12 angani na tiara hko kaskazini mwa Sri Lanka.

Lakini bahati yake ilikuwa nzuri alipata majeraha kidogo licha ya mshtuko alioupata.