Mjasiriamali anayeanzisha mitindo yake mwenyewe

Maelezo ya sauti, Mjasiriamali anayeanzisha fasheni yake mwenyewe
Iliyochapishwa

Mfahamu mjasiriamali anayehusika na fasheni kutoka Rwanda.

Sonia Mugabo anasifika kwa kuwashonea nguo kina mama wa taifa na wengine mashuhuri duniani.

Sonia alikuwa akifanya kazi kama tarajali huko Teen Vogue jijini New York wakati alipoanza kupata shauku ya kurejea nyumbani na hamu ya kuanza mitindo yake mwenyewe nchini Rwanda.